Exodus 10:28-29

28Farao akamwambia Musa, “Ondoka mbele yangu! Hakikisha kuwa hutakuja mbele yangu tena! Siku ile utakapouona uso wangu utakufa.”

29 aMusa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.”
Copyright information for SwhKC